3 août 2008
Kurudi Ufaransa...
Nimeshafika Ufaransa, "Peponi" kwa maoni ya watu wachache... Kwa mimi siyo peponi : mvua, shida za kisiasa, watu wanaokimbia daima, na pia wanahabari wanaoendelea kuandika kuhusu rais wetu kila siku... Kusema kweli, nimeshachoka. Nyinyi wote ninawamisi...