Canalblog
Suivre ce blog Administration + Créer mon blog
Publicité
zone verte
zone verte
Archives
Derniers commentaires
3 août 2008

Kurudi Ufaransa...

Nimeshafika Ufaransa, "Peponi" kwa maoni ya watu wachache... Kwa mimi siyo peponi : mvua, shida za kisiasa, watu wanaokimbia daima, na pia wanahabari wanaoendelea kuandika kuhusu rais wetu kila siku... Kusema kweli, nimeshachoka. Nyinyi wote ninawamisi...
Publicité
2 août 2008

Majengo yanapoota mpaka angani

Inaonekana kwamba watu hupenda siku hizi majengo marefu sana. Suali la jinsi tunavyojenga nyumba limezuka tangu zamani. Lakini siku hizi, limefikia kipeo chake. Na inasababisha matatizo ya kijamii na ya hifadhi ya mazingira. Mifano michache duniani popote....
1 août 2008

Lini mapinduzi ya wanaume ?

« Mapinduzi ya wanawake » ni dhana inayounga mkono wanawake duniani. Ni dhana ya kisiasa, ya kifalsafa, ya kijamii inayotetea haki za wanawake, inayotaka kuboresha hali ya wanawake ulimwenguni. « Mapinduzi ya wanawake » yalitokea kwenye nchi nyingi, lakini...
Publicité
Publicité